KIJANA HUYU ATOA KAULI NZITO,ASEMA AMEAMBUKIZA VIRUSI VYA UKIMWI WASICHANA WASIOPUNGUA 20

No comments

Katika  hali  ya  kushangaza   kijana   Hamis  Juma  ambaye  ni  mwanafunzi  wa  chuo  kimoja  hapa  Tanzania  ametoa  kauli  ya  kusitisha  kuwa  katika  maisha  yake  tayari  ameisha    ambukiza  wasichana      wasiyo   pungua  20 Virusi  vya  ukimwi,  Akiongea  kwa   kujiamini  bila  wasiwasi  wowote  na  mtandao  huu  amesema  alipata  virusi  vya  ukimwa  mwaka  2009    na  baada   ya  hapo  amekuwa  na mahusiano  na   wasichana  wengi   kwasababu  baadhi  wasichana   wamekuwa  wakimpenda  kutokana  na  uwezo   wake  wa  kifedha  kuwa  mzuri,
    mwaka  2011 alijiunga  na  chuo  kikuu    ambacho   kipo mkoani  Dar  es  salaam  kwa   ajiri  ya  kusomea  fani  sheria  anasema  baada  kujiunga    na  chuo     alikutana   na  majaribu  makubwa  kwasababu  wasichana  wengi  wamekuwa  wanapenda   kufanya   mahusiano   na  yeye  bila   ata  kuuliza  historia  ya    maisha  yake  ya  huko  nyuma   ,Kijana  huyo  akiendelea  amesema  imekuwa  ni  ngumu  sana    kwa  upande   kwa  kuwambia  ukweli  hao  wasichana   lakini  kwasasa  ameanza  kujutia  kwa  kitendo  alichofanya   cha  kuwambikiza  hao wasichana  virusi   vya  ukimwi bila ata  kumwabia .
   Tanzaniaclassic  ilipotaka  kujua  kama hao  wasichana  aliowambukiza  ukimwi  kama anawajua  kwa  majina?   kwa  kauli  yake   kijana  huyo   amesema  baadhi   ya   wasichana  anawajua   kwa  majina na  wengine    anawajua  kwa sura   kwasababu  idadi  ilikuwa  ni  kubwa  sana  kwasababu wengine  alikuwa  anakutana  nao   katika  kumbi  za  burudani  na wengine   walikuwa  ni wanachuo  wenzake, Akiendelea  kuongea  amesema  kwa   sasa ameacha  kabisa  kufanya  mahusiano  ya  kimapenzi   na  msichana  yeyote  kwasasababu  daktari  wake  amemshauri  hivyo,
      Sasa  hili  ni  fundisho    kwa  wasichana   wote  ambao  uwa  wanatanguliza  tamaa  bila  kuangalia  hasara  watakayo  ipata    kwasababu  hawa  wasichana   ambao  wameambukizwa  ukimwi   na  kijana  huyu   ni  kutokana  na   tamaa  zao   baada  ya kumuona  kijana huyu  yupo     vizuri kifedha  mwisho  wa  siku  wanaambulia  ukimwi  ,

Tutaendelea  kuwaletea   habari hii  kiundania


kijana  Hamis  juma   akiwa  nyumbani  kwake  hvi  karibuni

Hamis    Juma  akiwa  kwenye  pozi

No comments :

Post a Comment