Hawa ndio mastaa wengine wanaotarajia kupata mtoto…

Staa wa R&B aliyeweka rekodi ya kudumu kwenye muziki kwa muda mrefu bila kuanguka wala kubadili aina ya muziki anayoifanya, Justin Timberlake na mpenzi wake Jessica Biel wanatarajia kupata mtoto soon…
Ndoa yao ina miaka miwili na stori kuhusu Jessica ni ujauzito alionao wa zaidi ya miezi 3.
Mastaa hawa hawajakaa kwenye ‘headlines’ nyingi huenda ‘wazee wa udaku’ wanahofu kutokana na kitendo walichokifanya mwezi uliopita kulishtaki jarida la Heat kwa kuandika stori iliyowachefua.
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment