USIKOSE KUSOMA APA ILE HADITHI YA MWANA DADA FAIZA ALLY ALIYO ANZA KUISIMULIA
Nikamwambia mm sinywi pombe , tena kwa mfululizo hivyo ,sasa yeye alizani na act .. Akaniagizia JD bahati mbaya pale walikua hawapimi ikaletwa chupa kubwa ya JD na mm kawaida na limit na kunywa double 3 nakuaga niko fresh na inakuaga ndio kipimo changu! Basi kinywaji kikaja tukaendelea kunywa akawa ana niuliza Sasa unafanya nini na mm nikawa najielezaNikamwambia mm nilikua mfanya biashara na duka la nguo hapo na Namanga Lkn kwa Sasa ni producer
Akaniukiza wa nn
Nikamwambia wa movie na juzi tu kuna movie yangu imeingia sokoni wkt huo ndio movie yangu ya tough life imetoka
Akaniuliza Ina lipa
Ndio Lkn mm wamenilipa m.10 na wameahidi nitakapo peleka Kazi nyingine ntalipwa zaidi na ndio hela nilio lipwa na steps.. Basi huku vinywaji vinaendelea mpaka time ya disco imefika nikajikuta kipimo kimepitiliza maana nilikua najipimia mwenyewe.. Tukaenda club nikawa nimelewa sana kiasi hata nilijisahau Kama Niko na mtu wa aina gani hapo ndipo alipo anza kujua kweli mm ni mgeni kwenye ulevi.. Mwisho wa yote ikabidi atoke aende kwenye gari akanisubiri maana alikua anaogopa skendo alimwambia cousin wangu hivyo ! sasa wkt anataka tuondoke mm ndio pombe imekolea mziki ndio usipime ! Alipo niambie twende jibu nilio mpa lilikua hivi... Nikamwambia wewe wewe nani bwana Kama vipi sepa achana na mm ! Cheo chako huko huko kazini sio hapa sawa ?? Hahaa. Ndio akaamua aende kuni subiri kwenye gari kwa kweli alikua ana moyo hakuondoka na kesho yake aliniambia asinge weza kuondoka kwa sababu yeye ndio alinilazimisha pombe hivyo isinge kuwa salama kuniacha ilibidi anisubiri! sasa cousin wangu alipo ona nimezidi kulewa sana ilibidi aniondoe kwa nguvu mpaka kwenye gari ya huyo jamaa akanikabizisha akaondoka kitu ambacho namlaumu kila siku... Kwa hiyo nilivyo fika kwenye gari yeye akarudi club na mm nikaondoka nae na nilifika tu kwenye gari nilizima sikulelewa chochote baada ya hapo....nakumbuka baada ya kufika hotelini kwake aliniamsha sikuamka akanibeba mpaka kwenye ngazi nikaa nae akapumzika maana ilikua gorofa ya tatu akanibeba tena mpaka chumbani.. Nikajikuta Niko ndani kidogo akili ikarudi kutokana na mazingira ! Mara aka washa bangi tukaanza kuvuta .... ITAENDELEA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment