PICHA: Utatu Huu Umewapendeza Wengi

No comments


PICHA: Utatu Huu Umewapendeza Wengi

Naweza sema kwa siku ya leo picha hii ndio iliyopata “comments” na “Likes” nyingi zaidi kuliko picha zote zawaigizaji zilitupiwa leo  mtandaoni. Nipicha inayowajumuisha mastaa watatu ambao ni waigizaji wa filamu maarufu hapa Bongo, amabao ni Kajala,Tausi na Wolper.
Mashakibi wengi wameonekana kivutiwa zaidi na picha hii kwani ndani ya muda mfupi picha hizi zilipata Likes zaidi ya elfu tano na comment zaidi ya mia tatu.
Wote kwapamoja, Kajala na Wolper waliziweke picha hizi kwenye kurasa za instagram. Kitu kilichowapa fursa wadau na mashabiki kuongea kile walichokiona juu ya picha hizi, lakini wengi walisema wamependeza sana,na wengine wakitaka waunde  TEAM……hehehe. Hivyo nikaona sio mbaya nizilete hapa na wewe ufunguke kile unachikiona kwenye picha hizi.

No comments :

Post a Comment