MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD

No comments


MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD
  • MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD 1
  • MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD 2
  • MAHABA:Huyu Ndie Manzi Aliemshika Hemmedy PHD 3
 



Kuwa na mpenzi ni kitu cha kawaida katika maisha ya mtu mzima na  pengine  kila mtu mzima hapa labda anampenzi wake, ila linapokuja swala la mapenzi ya mtu maarufu katika jamaii, akiwa na mpenzi  na wakiamua jamii itambue hiyo lazima iwe story.
Msanii mwenye vipaji  vya kucheza filamu na kuimba muziki, Hemmed Seleman  aka Hemmed PHD, kupitia mitandaoni  amekuwa akitupia picha za akiwa na  mrembo huyu wakiwa katika mapozi ya kimahaba zaidi na kuandika maneno yakaashiria kwa wo ni wapenzi. Picha hapo juu zinaonge.
Nimastaa wachache sana hapa Tanzania ambao wanaweka wazi wapenzi waoili jamii iwatambue.Hongera sana HEMMEDY PHD na tunawatakia  kila la kheri kwenye mapenzi yenu.

No comments :

Post a Comment