Haya ndo yaliyojiri kwenye show ya Kili music tour Mwanza jana..

DSC_0371Kili tour bado inaendelea na list ndefu ya wasanii wamewafurahisha wakazi wa Mwanza 88.1 kwa show kali jana May 31 2014 ikiwa ni Tour ambayo inawajumuisha washindi na washiriki mbalimbali wa tuzo za KTMA 2014.
DSC_0157
DSC_0044
Watangazaji Zembwela na Dullah wa East Africa radio wakifanya yao.
DSC_0059
DSC_0072
DSC_0075
DSC_0083
DSC_0097
Rich Mavoco
DSC_0138
DSC_0157
Ommy Dimpoz na V Money
DSC_0172
Christian Bella
DSC_0180
DSC_0183
DSC_0205
DSC_0207
DSC_0348
DSC_0370
DSC_0371
IMG_5237
IMG_5251
IMG_5287
IMG_5290
IMG_5361
Meneja George Kavishe na team yake
IMG_5388

KWA WALE WAPENZI WA VICHEKESHO, SIKILIZA HIKI HAPA CHA MKUDE SIMBA KIPYA....!!!

Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro


Mwongozaji wa filamu maarufu nchini George Tyson Afariki dunia kwa ajali ya gari Morogoro
     
    Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema mongozaji wa filamu maarufu nchini George Otieno Tyson (Pichani) amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Morogoro.
    Taarifa hizi ambazo zimethibitishwa na watu wa karibu yake zinasema kuwa, mauti haya yamemfika baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka walipokuwa wameenda kwa ajili ya kipindi cha  The mboni show ambacho yeye alikuwa ndiye muongozaji mkuu.
    Wasanii na mastaa mbalimbali nchini wameoneshwa masikitiko yako juu ya kifo hichi ikikumbukwa kuwa ni siku tano tu zimepita tangu mwigizaji Rachel Haule alipotutoka.
    Batuli: - Niongee nini, niseme nini Mwenyezi Mungu tusamehe sie waja wako, Yarabbi eeeeeh Mola wng, R.I.P My brother, My shemeji, My director......Eeeeeh Mola mpokee George Tyson wetu, Poleni wasanii wenzangu, Poleni team nzima ya the mboni show thembonishow Pole Monalisa wangu
    Rose Ndauka: Ki ukweli sina LA kusema ila asante baba wa mbinguni kwa kila jambo. ...mola mpokee ndugu yetu, kwa mikono salama na umlaze pema peponi ameen.....R.I.P George Tyson.
    Agness Masogange: R.I.P  George tyson mm siamin bado jmn E Mungu tuhurumie waja wako!
    Flaviana Matata : This is very sad aisee,Rest In Peace Tyson.Mungu kakupenda zaidi, - monalisa pole sana dadangu,Mwenyezi Mungu awatie nguvu
    Wema Sepetu - Kwa mara ya tatu bila hata kupumzika week... tunamzika mwenzetu mwingine... George Tyson.... Dah... Im just speechless.. RIP brother... Dah sijui Da Mboni wangu ana hali gani aisee.... Pole dada akee ... Mungu akupe nguvu wewe pamoja na team yote ya @thembonishow .... Pigo kubwa tena kwa wasanii.... Tunaisha tu jamani.
    Aunty Ezekiel - Mungu wang Naomba useme na sisi jaman Mungu baba tuone sisi jaman Naumia siwezi elezea jaman RIP Tyson wang jaman Rip director .....Nakosa lakusema
    Mohamed Mwikongi : Hakika yametufika, A film director George Otieno Tyson naye hatunae tena duniani.
    George Tyson aliwahi kuwa mume wa mwigizaji Monalisa na kuweza kuzaa naye mtoto mmoja. Mung ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.

    WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI

    WABUNGE KUTOKA VYAMA MBALIMBALI VYA UPINZANI BUNGENI WAKIONGOZWA NA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI FREE MAN MBOWE WAKITOKA NJE YA BUNGE KUSUSIA MJADALA WA BAJETI YA WIZARA YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ULIOKUWA ULKIENDELEA LEO BUNGENI MJINI DODOMA.